Saturday, August 9, 2014


MAKAMU WA RAIS DR. MOHAMMED GHARIB BILAL ALIPOTEMBELEA BANDA LA SHIRIKA LA NYUMBA (NHC)

1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr. Gharib Bilal akikaribishwa na Meneja mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipotembelea banda la shirika hilo katika maonyesho ya Nanenane kitaifa yaliyofungwa jana mjini Lindi na Mh. Makamu wa Rais Mh. Dr. Mohammed Gharib Bilal .

2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr. Mohammed Gharib Bilal akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo jana mini Lindi.

3-1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akipata maelezo kutoka kwa Meneja mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo jana mini Lindi.

5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr.Mohamed Gharib Bilal akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo jana mini Lindi kushoto ni Waziri wa Kilimo na Chakula Mh. Christopher Chiza na Mkuu wa mkoa wa Lindi Mh. Ludovick Mwananzila.
7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr.Mohamed Gharib Bilal akimuelezea jambo Meneja mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo jana mini Lindi.
9
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania Dr. Mohamed Gharib Bilal akisikiliza kwa makini huku Meneja mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Bw. Tuntufye Mwambusi akisisitiza jambo wakati alipokuwa akitembelea katika banda hilo jana mini Lindi katika maonyesho ya Nanenane yaliyofungwa jana.

AZAM FC YATOKA 0-0 NA RAYON SPORT KOMBE LA KAGAME, KMKM NAYO YATOKA 1-1, KCC YAICHAPA GOR MAHIA 2-1

AZAM-SHANGILIA2Na Baraka Mpenja
MABINGWA wa ligi kuu soka Tanzania bara, Azam fc wamelazimisha suluhu tasa ya bila kufungana na wenyeji Rayon Sport katika mchezo wa pili wa kundi A kombe la Kagame lililoanza kutimua vumbi leo viwanja viwili tafouti nchini Rwanda.
Katika mechi nyingine, KMKM imetoka sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Atlabara ya Sudan kusini katika mchezo wa ufunguzi uliopigwa mapema katika uwanja wa Amahoro.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com